Njoo Tukuzie smart projector kwa gharama ya shilingi 210,000/=
FAIDA ZINAZOPATIKANA KWENYE PROJECTOR HII.
1. Ina uwezo wa kuonesha kuanzia Inch 30-150.
2. Inatumia umeme kidogo sana.
3. Ina sehemu ya kuweka flash hivyo unaweza kutazama movie, nyimbo au kusikiliza muxiki kwenye projector hii
4 Ina sehemu kuweka HDMI Unaweza kuunga ni king'amuzi
6. Ina tundu la AUX ambalo litakusaidia kuunganisha na sabufa.
7. Inaunganisha na WI-FI.
8. Ina mfumo wa ADROID.
9. Ina Rom 8Gb na Ram 2gb.
10. Ina bluetooth.
11. Kubwa kuliko ni kwamba Mchana pia inaonesha
Huu ni mbadala wa flat screen tv. Njoo uweke oda sasa
Weka Oda sasa ili uweze kujipatie.
Piga 0747030303
Tuambie pia upo mkoa gani ili tuone kama tunaweza kukutumia bidhaa hii.

.png)
0 Comments