BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Mitazamo ya aina mbili katika maisha.


Ipo mitazamo mikubwa ya aina mbili katika maisha ya kila mtu. Kupitia mitazamo hii, ndiyo inayotofautisha maisha ya mtu mmoja na mtu mwingine na kuyafanya kuwa bora au kushindwa siku zote. 

Kwanza, kuna mtazamo chanya ama ‘value driven attitude’. Huu ni mtazamo unakuongoza kufikiria kama nitafanya nini ili nikusaidie kutoka kwenye hali uliyonayo, nitafanya kipi ili kufanya maisha ya wengine yawe mazuri kupitia mimi?

Pili mtazamo hasi ama ‘entitled attitude’, ni mtazamo unaokuongoza kusema kwamba nilipe, halafu nitafanya kazi kwa juhudi zaidi, au nitafaidi vipi na kazi ambayo unataka kunipa kwa sasa.

Imeandikwa na Imani Ngwangwalu.

Post a Comment

0 Comments