Ili ufanikiwe unahitajji kuwa na maono ya muda mrefu ambapo hapo unakuwa unajua ni wapi unatakiwa kufika kutokana na mipango uliyojiwekea. Maono hayo ya muda mrefu yatakusaidia hasa pale unapokutana na kila aina ya changamoto uweze kuvuka.
Washindi katika maisha ni watu ambao wana maono. Ni watu ambao wanaishi kwa mipango iliyo sahihi. Ni watu ambo wanajua ni nini wanafanya kwa kifupi hawababaishi. Ukiamua kuishi bila maono, elewa kabisa ni lazima utaangamia na hutaweza kufanikiwa.
Imeandikwa na Benson Chonya
0 Comments