Abraham Lincoln alikuwa ni Rais wa 16 wa nchi ya Marekani, historia yake yake inaeleza namna panda shuka zake zilivyokuwa kabla hajawa raisi.
Mwaka 1831 alifeli vibasa sana kwenye biashara yake, kitu ambacho kilimpelekea mwaka 1836 kupata msongo wa mawazo. Msongo ambao ulimuathiri pia katika utendeaji wake wa kazi.
Mwaka 1856 alimua kwenda kugombea uraisi wa nchi ya marekani, lakini kufanikiwa kushinda, hakukata tamaa ilipofika mwaka 1861 alirudia tena kugombea tena na hatimaye alishinda na akawa Rais wa 16 ya Taifa la Marekani.
Funzo;
Pamoja na panda shuka ambazo tunakutana nazo kwenye maisha hatupaswi kukata tamaa bali, tunakiwa kupambana bila kuchoka ili tuweze kupata kile tunachokitaka kama alivyofanya rais wa marekani Abraham Luncolin.
Imeandikwa na Afisa Mipango Benson Chonya.
0 Comments