BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jifunze jambo hili kutoka kwa Shabani Robert


Jioni hii wakati naendelea kuangalia mashindano ya AFCON ghafla nikakumbuka andiko moja fulani la  shaban Robert ambapo aliwa andika akisema kuwa Msiba wa kujitakia hauna kilio.

Kupitia andiko hilo nikajifunza kuwa kwenye maisha haya tuepuka sana kusababisha matatizo ambayo yana athari kwenye maisha yetu.

Kwa mfano kama wewe ni mwanafunzi soma sana, usije ukawa husomi harafu badae ukaja kulamu.

Kama wewe ni mlezi walee wanao katika maadili  yaliyo mema, maana kama hutofanya hivyo watoto wakija kukua katika maadili yasiyo mema huenda ukaanza kulalama hapo baadae.

Kila kitu kifanye kwa usahihi ili kuepuka msiba wa kujitakia kwani kilio chake utalia mwenyewe.

Anyway jioni njema ndugu yangu wacha niendelee kuangalia mbungi (mpira) kutoka Ivory Cost.

Imeandikwa na Benson Chonya



Post a Comment

0 Comments