BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Ili uweze kufika mbali kimaisha, fanya haya.


Kwenye maisha yako, ni bora kujitangaza wewe, kuliko kuwaletea wengine maneno. Pia ni bora kutangaza soko lako, kuliko kwenda kinyume na washindani wako. Ni bora pia kufanya kazi zako, kuliko kutumia nguvu nyingi kupinga kazi za wenzako.

Unapokuwa na nafasi ya kufanya mambo yako, acha kupambana. Jifunze kutengeneza sheria zako zitakazo kuongoza kwenye njia ya mafanikio na si kupambana. Ukifanya hivyo hutafika mbali kimafanikio, kama kujinadi, jinadi wewe na sera zako, basi.

Imeandikwa na Imani Ngwangwalu

Post a Comment

0 Comments