BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jifunze jambo hili maishani mwako.



Nafasi pekee uliyopewa ya kuishi hapa dunia unapaswa kuitumia vizuri. Nafasi uliyopewa ya kuendelea kuishi katika ulimwengu huu unapaswa kuishi kwa kutimiza maksudio yake Muumba, kwa sababu wewe hukuubwa kwenye dunia hii kwa bahati mbaya.

Kuishi kinyume na matakwa yake Mwenyezi Mungu, au unapoishi kama vile dunia hii ulishiriki kwenye uumbaji unafanya makosa makubwa mno, kwani nijuacho mimi ni kwamba kila mmoja wetu aliumbwa aje atimize jambo fulani, hivyo unapaswa kulitimia jambo hilo kabla hujaacha kuitumia hewa pedwa ya oksjeni.

Pamoja na hayo basi kila mmoja wetu anapaswa katumbua kuwa ili aweze kufanikiwa katika sayari hii, anapaswa kutumiza lile kusudio la kuumbwa kwake. 

Acha mara moja tabia ya kuendelea kulalamika kwamba jambo fulani ni gumu, jifunze kutafuta majibu ya jambo lolote gumu linalokukabali, kufanya hivyo  itakuwa ni  njia nzuri sana kwako kuweza kutambua na kuishi kwa kutimiza kusudio lako katika dunia hii. 

Ndimi: Afisa Mipango, Benson Chonya.

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

bensonchonya23@gmail.com

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments