MAHITAJI NA VIPIMO
1. Juice ya machungwa kikombe 1½
2. Asali kijiko 1 chakula (ukipenda)
3. Maziwa ya maji kikombe 1
4. Mtindi wa vanilla kikombe 1
5. Vanilla 1/2 kjk chai
JINSI YA KUTAYARISHA.
1. Weka Katika bakuli mahitaji yote hapo juu kisha koroga vizuri mahitaji yote hadi iwe smooth.
2. Mimina katika popsicle molds, tia vijiti kisha gandisha hadi zigande.
Imeandikwa na Afisa Mipango Benson Chonya kwa msaada wa
mtandao.
Bonyeza
hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail
BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.
0 Comments