BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

JINSI YA KUTENGENEZA KASHATA ZA UFUTA.

 


Mahitaji

1.      Ufuta kg2

2.      Sukari 1/4

3.      Kinu

4.      Sufuria

5.      Mwiko

6.      Maji

7.      Beseni/ ndoo

8.      Kibao

9.      Jiko

 

Jinsi ya kutengeneza

1.      Chukua ufuta petana toa takataka zote.

2.      Kisha tia ndani ya sufuria weka maji osha na chekecha michanga km unavyo chekecha mchele kutoa mchanga kisha chuja maji na uanike juani ukikauka chukua kinu safi anza kuukoboa.

3.      Ukimaliza upete kuondoa pumba na uukaange kidogo mpaka unukie na kuwa brown ya mbaali kisha chukua sufuria weka sukar na ubandike jikoni.

4.      Kisha koroga mpaka sukar ilainike na uweke ufuta wako kisha geuza geuza mpaka ichanganyike na ishikane.

5.      Weka juu ya meza au sinia na ubandebande ukiwa wamoto kisha kata umbo upendalo tayr kwa kula au biashara.

Imeandikwa na Afisa Mipango Benson Chonya kwa msaada wa mtandao.


Post a Comment

0 Comments