Kuna wakati katika maisha unaweza kukosa hamasa ya kufanya kazi au jambo fulani sasa inapotokea hali kama hii unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha unakuwa ndoto kubwa ya kufanya jambo lako.
Unapokuwa na ndoto kubwa ni kwamba kila wakati unakuwa unajifunza namna ya kukamilisha malengo yako ambayo umejipangia lakini vilele inakuongezea shauku katika kupambana ili uweze kufikia ndoto yako.
Kwenye kila jambo unalolifanya ili uweze kujenga shauku kubwa ya kufanikiwa katika jambo fulani basi ni muhimu sana kuweza kuhakikisha ya kwamba unakuwa na ndoto kubwa ya kukamilisha jambo fulani. Usiangalie tu hapo ulipo bali yakupasa kujitafakari na kujiona upo wapi baada ya miaka kadhaa?
Ndimi:
Afisa Mipango, Benson Chonya.
Bonyeza
hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail
BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.
0 Comments