Mahitaji
1.
Viazi kilo 1
2.
Mafuta chupa 1
3.
Chumvi kijiko kias
4.
Pilipili kijiko kias
5.
Ndoo
6.
Beseni
7.
Upawa wa kukaangia wenye matundu
8.
Bakuli yenye matundu/kitaulo safi
9.
Kikaangio
10. Jiko
Menya viaz vyako osha na ukatekate sles
ndogondogo kisha weka kwenye beseni weka chumvi na viache vikauke maji
Washa jiko na uweke chungu chako cha kukaangia weka mafuta yaache yachemke uweke vipande vyako vya viaz viache mpaka viwe brown ya mbali kisha chukua upawa wako wenye matundu na uipue weka kwenye bakuli la kuchujia mafuta kisha weka pilipili tayar kwa matumizi
Kumbuka pilipili siyo lazima.
Imeandikwa na Afisa Mipango Benson Chonya kwa msaada wa
mtandao.
0 Comments