MAHITAJI
Ndizi mbivu 2 zilizoganda
Cocoa 1/2 kikombe
Chocolate chips 1/2 kikombe ongeza ziada kwa ajili ya kupambia
Mapambo ya chocolate kupambia ukipenda
Maziwa lozi kikombe 1
JINSI YA KUTENGENEZA
1.Tia mahitaji yote katika blender kisha bakiza chocolate chip kwa ajili ya kutupia juu...saga hadi iwe smooth
2.Tia katika container inayohimili freezer kisha gandisha hadi igande
3.Chota ice cream yako tia katika bakuli za kuandalia kisha tupia chocolate chips za ziada pia unaweza pambia chocolate sprinkles. Enjoy
NB: Unaweza kutumia skimu milk au full fat mbadala wa maziwa ya lozi.
Imeandikwa na Afisa Mipango Benson Chonya kwa msaada wa
mtandao.
0 Comments