Ukishajua mtu anataka kununua kitu, kaa kimya. Wakati wa kumshawishi mtu kununua kitu, wauzaji wengi hujikuta wanaongea sana mpaka mtu anaahirisha kununua kitu.
Ondokana na hilo kwa kuongea maneno machache na muhimu, na pale mtu anapoonesha nia ya kununua, kaa kimya, usiendelee kuongea tena. Hapo mtu atafanya maamuzi na kununua.
Ya nini kuendelea kuongea zaidi, wakati mtu kesha sema tayari ana nunua kwako. Kuwa kimya mteja akishasema ananunua, haina haja ya kuongea tena, unaweza kumpoteza mteja huyo.
Wako
rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu
Bonyeza
hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail
BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu
kupitia WhatsApp.
0 Comments