BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Zinagatia hili kabla ya kuacha ajira yako.

 


1. Watu wengi wanapenda sana kutoka kwenye ajira na kwenda kujiajiri ila ukweli ni kwamba kabla hujachukua uamuzi wako huo wa kuacha ajira yako unatakiwa kuelewa ya kwamba kabla hujachukua uamuzi wako ni lazima uhakikishe kitu ambacho unataka kukifanya kabla hujaacha ajira kimesimama kwa uimara  wake kwanza.

Kuacha ajira huku ukiwa hauna uhakika na hicho unachotaka kukifanya ni sawa na bure,  kwani kabla ya kuacha ajira na kwenda kujiari ni lazima utakwenda kuishi maisha magumu sana 

Kama ni biashara basi hakikisha biashara hiyo imesimama kwa uimara wake hata pale ikitokea umeacha ajira basi unaweza kuendesha maisha yako pasipo kutegemea mshahara ambao ulikuwa umeshauzoea hapo awali.

Ndimi: Afisa Mipango, Benson Chonya.

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

bensonchonya23@gmail.com

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments