Kwenye maisha ya mafanikio husasani kwenye suala la mafanikio ya kifedha unatakiwa kuweka malengo ambayo yanawezekana. Malengo ambayo yapo ndani ya uwezo wako ambayo unaweza kuyatimiza.
Kama lengo lako ni kuweka asilimia kumi ya kipatacho chako, basi hakikisha lengo hilo lipo ndani ya uwezo wako. Usiweke malengo ambayo huna uwezo wa kuyatimiza hapo utakuwa unajiumiza mwenyewe.
Hivyo kila wakati jifunze kuweka malengo ambayo unayamudu kwani kufanya hivyo itakusaidia kuweza kutimiza lengo ulilolikusudia.
Imeandikwa nami Afisa Mipango Benson chonya
0 Comments