BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Kuwa makini na tamaa ndogo ndogo.

Katika maisha yako kuwa makini sana na tamaa ndogo ndogo, zisije zikakupotezea mafanikio yako makubwa. Wengi wanaanguka kimafanikio kwa sababu ya tamaa hizo.

Kwa mfano, acha kuwa na tamaa na pombe, vyakula au uzinzi kwani ni mambo ambayo ukiyaendekeza yatakupoteza. Waangalie wote waliojiendekeza wamepotea kabisa.

Jambo la msingi, jitahidi ujizuie na tamaa hizo. Chapa kazi kwa bidii, na tamaa hizo utaweza kuzisahau. Tengeneza maisha yako, acha tamaa zitakazo haribu maisha yako.

Ndimi: Afisa Mipango, Benson Chonya.

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

bensonchonya23@gmail.com

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments