BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Kumsaidia mwingine ni hazina.

Kama ulishindwa kuwasaidia wengine wakati wenzako wana shida, kama watu hao wakishindwa kukusaidia kwa sasa, usishangae. Inawezekana unavuna ulichopanda. Kile ulichowafanyia, ndicho unachofanyiwa kwa sasa.

Hakikisha kila wakati, pale inapowezekana kutoa msaada wako, toa na usitie shaka kabisa. Leo hii kwako mambo yako poa, je, kesho yakikwama itakuwaje? Hapo sasa kwa kujua hilo, wasaidie wengine, hiyo itakuwa hazina yako ya baadae.

Wako rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

dirayamafanikio@gmail.com

BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments