Ni kitu gani unachopata inapotokea haumheshimu mtu fulani, bila shaka hakuna utakachopata zaidi tu ya ujinga.
Kwa upande mwingine unapomheshimu mtu fulani, nawe pia unaheshimiwa na ndivyo tunatakiwa kuishi hivyo.
Usipomheshimu unaonyesha udhaifu mkubwa sana kwako, lakini ukimheshimu mtu unajifungulia milango mingi.
Wekeza katika kuwaheshimu watu, na unaweza kuwaheshimu hata bila ya kutekeleza yale wayasemayo kwako.
Fikiri kwa heshima, sema kwa heshima, na tenda kwa heshima kwa kila mtu. Hiyo itakupa sana heshima wewe kwa mengi.
Wako
rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu
Bonyeza
hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail
BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu
kupitia WhatsApp.
0 Comments