Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaopenda kusoma vitabu kama mimi basi naomba nikuibie siri ya kuwa kama bado hujasoma kitabu kinachoitwa MTU TAJIRI WA BABERI (The Richest Man In Bablon) kilichoandikwa Geogre Clason basi umepitwa na elimu muhimu sana iliyopo ndani ya kitabu hicho.
Binafsi nimekwisha kusoma kitabu hicho ni miongoni mwa kitabu kizuri sana ambacho kitakufaa sana maishani. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo wa simulizi ambapo ndani yake kina elimu inayohusu elimu ya fedha ambayo huwezi kuipata popote isipokuwa ndani ya kitabu hicho.
Kitabu hiki hakichoshi unapokisoma, kwa sababu kimeandikwa katika mtiririko mzuri. Pia kama unachangamoto zinazohusu masuala ya kifedha, ukikisoma kitabu hiki basi changamoto zako zitakwenda kuisha endapo utafanyia kazi yale uliyoyasoma.
Pia uzuri ni kwamba kitabu hiki kimendikwa kwa lugha ya kiswahili na lugha ya kingereza hivyo maamuzi ni yako kuamua unataka kusoma kitabu hiki kwa lugha gani.
Kama unataka kitabu hiki tafadhari wasiliana nasi kwa namabri yetu ya whatsapp ambayo ni BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 ili uweze kujipatia kitabu chako. Utakisoma kupitia simu yako kipo kwenye mfomo wa nakala tete (soft copy) PDF.
Changia kiasi shilingi Tsh5,000 tukutumie kitabu hiki sasa kwa nambari yetu ya 0747-030303 ili tukutumie.
Hakikisha unakisoma kitabu hiki ili kikufae maishani. Asante


0 Comments