BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jambo la kujifunza kutoka kwa Bob Marley.

Mwanaharakati na mwanamziki Bob Marley aliwahi kusema kuwa ili uweze kuishi maisha ya furaha na yenye mafanikio unapaswa "kupenda maisha unayoishi, ishi maisha unayoyopenda. 

Hii ikiwa na maana msingi mkuu wa mafanikio ni kwenye kila eneo ambalo unataka kufanikiwa basi msingi wake mkuu ni kupenda sana kile unachokifanya, ukipenda kile unachokifanya utaishi maisha halisi.

Ukipenda kile unachikifanya utaishi maisha yenye furaha kwa sababu hautashughurika na yale yasiyokuwa na msaada wowote maisha mwako.  Kwa nukta hiyo nirudie kwa kusema penda maisha unayoishi, ishi vile unavyopenda wewe. 

Ndimi: Afisa Mipango, Benson Chonya.

bensonchonya23@gmail.com

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments