BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Biashara yenye mafanikio makubwa hujengwa na kitu hiki.

Biashara yenye mafanikio makubwa hujengwa na msingi imara wa mfanyabiashara  huyo kuamua kujifunza pasipo kuwa na ukomo juu ya kile anachokifanya. 

Kama unafanya biashara ya aina fulani, soma kila siku juu ya biashara hiyo ili uweze kujifunza mbinu mpya zitakazokusaidia zaidi namna sahihi utakavyofanikiwa kupitia biashara husika.

Ni muhimu sana kuweza kujifunza kila siku juu ya biashara husika kwa sababu mara nyingi kile unachokijua leo huenda kisifanye kazi kesho.

Kila wakati mambo huwa yanabadilika hivyo ukiwa kama mfanyabiashara wa kileo unapaswa kuendana sawa na mabadiliko hayo ya kujifunza mambo mapya kila uchwao ili uweze kufanikiwa zaidi katika biashara yako. 

Ndimi: Afisa Mipango, Benson Chonya.

bensonchonya23@gmail.com

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments