Unapofanya biashara yeyote ile ambayo si ya mali mbichi unapaswa kutoa "warranty" katika bidhaa zako ili wateja wako wawe na uhakika na kile wanachokinunua.
Hakuna kitu chenye kuleta thamani kwa wateja wako kama utaamua kuwauzia bidhaa zenye hazina uhakika. Mteja yoyote yule anataka bidhaa ya uhakika, ili anaponunua bidhaa asiwe na wasiwasi ya kuharibika ndani ya muda mfupi wa bidhaa hiyo.
Ewe mfanyabishara unatakiwa kuelewa kuwa unapaswa kutoa "warranty" yenye uhakika zaidi. Pia kwa kuwa una uhakika na kile unachokiuza basi mpe mteja wako warranty ya muda mrefu ili mteja awe na uhakika na kile unachokinunua.
Ndimi:
Afisa Mipango, Benson Chonya.
BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.
0 Comments