Chukua hii.. Mara nyingi kitu pekee ambacho tulipewa na Mungu kama zawadi ni pamoja na wazazi. Tunapaswa kuwaheshimu sana kwa sababu bila wao tusingekuwapo katika dunia hii. Wao wamesimama nasi muda wote katika kukua kwetu nasi tunapaswa kutambua thamani yao.
Ongeza na hii… Si kutambua thamani yao tu bali tunapaswa kuwasaidia kwenye mahitaji yao ya kila siku kwa sababu tukifanya hivyo tutapata Baraka na thawabu kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenye kutoa ndiyo hubarikiwa zaidi.
Ndimi:
Afisa Mipango, Benson Chonya.
BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.
0 Comments