Hujachelewa kuanza chochote. Kwa zama tunazoishi sasa, unaweza kuanza kitu chochote kwenye umri wowote na bado ukafanikiwa. Kama ulichelewa kuanza, usijikatishe tamaa kwamba huwezi kuanza sasa.
Kwenye umri wowote ule, unaweza kuanza chochote unachotaka kuanza na ukafanikiwa. Iwe ni biashara au ujuzi fulani, unachohitaji ni mapenzi na kuwa tayari kujifunza kila siku kitu hicho.
Je, ni kipi ambacho ulikuwa hujakianza na ukawa unafikiri umechelewa, hujachelewa. Chukua maamuzi ya kuanza.
Wako
rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu
Bonyeza
hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail
BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu
kupitia WhatsApp.
0 Comments