Mambo makuu ya kuzingatia .
1.Osha mikono yako vizuri kwa maji tiririka.
2.Osha mbogamboga na matunda vizuri.
3.Pika nyama na hakikisha inaiva vizuri .
4.Usiache chakula wazi kwa muda mrefu .
5.Hakikisha unapasha chakula vizuri kabla yakula kama kililala(kiporo).
6.Kuwa makini na vyakula vya kupewa na mtu usiyemfahamu .
Imeandikwa na DK. Harun Mmari
Kama unahitaji ushauri wowote wakiafya wasiliana na Dk. Harun Mmari kwa nambari 0625940497
0 Comments