1.Kula vyakula vyenye fibre (nyuzinyuzi) kwa wingi kama mboga za majani, matunda n.k
2.Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita hadi nane kwa siku)
3.Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa
4.Epuka kujibweteka, Fanya mazoezi .
Imeandikwa na Dk. Harun Mmari
Kama unahitaji ushauri wowote wa masuala ya afya tafadhari wasiliana naye kwa nambari 0625-940497
0 Comments