Kuwaita watoto majina mabaya mfano mbwa ,ng'ombe,paka n.k pale wanapokosea huwa huwajengi ,huharibu sana saikolojia zinazoongoza makuzi yao
Ni busara kama watoto wataelekezwa kwa Upendo ,umri wao watoto wadogo huhitaji busara zaidi kuliko vitisho
Imeandikwa na DK. Harun Mmari
Kama unahitaji ushauri wowote
wakiafya wasiliana na Dk. Harun Mmari kwa
nambari 0625940497
0 Comments