Anatukumbusha ya kuwa katika maisha haya kila siku basi tusikubali kushindwa kwenye jambo lolote bali tunapaswa kupambana ili tuweze kufanikiwa.
Kupambana ndiyo msingi halisi wa mafanikio halisi, huwezi kusema unataka kitu fulani katika maisha yako wakati huo huo juhudi zako umeziweka nyuma ya kisogo chako, hapo utakuwa unajidanganya mwenyewe.
Hivyo ni jambo jema pia ni busara zaidi kuendelea kupambana kila uchao ili kuhakikisha tunapata matokeo makubwa kwenye mambo mbalimbali
0 Comments