BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Maajabu mengine ya mbegu za maboga



Madini lishe ya phosphorous, magnesium, zinc hupatikana kwa wingi kwenye mbegu za maboga ni virutubisho muhimu vinavyosaidia kuimarisha Afya ya Mifupa pia kuzuia tatizo la Mifupa kupoteza uimara (osteoporosis)

Hii ni muhimu sana hasa kwa wanawake ambao wanaelekea ukomo wa hedhi (Wanawake kuanzia miaka 45 na kuendelea).

Imeandikwa na Dk. Harun MMari
0625-940497


Post a Comment

0 Comments