BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jinsi yayhoma ya ini aina "B" inavyosababishwa



Homa ya Ini aina B husambazwa kupitia majimaji ya mwili,damu,shahawa pia maji maji yanayozalishwa na uke. Vitu vyenye ncha kali kama kisu,sindano ,kushiriki tendo la ndoa pamoja na kuchangia viwembe na muathirika wa aina hii ya homa ya Ini kunaweza pia kusambaza ugonjwa.

Homa ya ini ni hatari!

IMEANDIKWA NA DK. HARUN MMARI
0625-940497

Post a Comment

0 Comments