Homa ya Ini aina A
(Hepatitis 'A')
Husababishwa na kirusi A (Hepatitis A virus). Husambazwa kwa kula vyakula au maji yaliyo changanyikana na kinyesi cha mtu aliye athirika na aina hii ya homa ya Ini.
Homa ya Ini ni hatari
Imeandikwa na dk. Harun Mmari
0625940497
0 Comments