Uongozi wa mafanikio App kwa ujumla pamoja na wafanyakazi wote, tunapenda kutumia nafasi hii kukutakia wewe msomaji wetu wa app hii, maadhimisho memo ya siku hii ya wanawake dunia ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe nane (08) ya mwezi wa tatu kila mwaka.
Aidha kwa kutambua thamani kubwa ya wakinamama wote, basi sisi kama watoto wenu tunawaambia tunawapenda sana kwani thamani yenu katika sayari hii ni kubwa mno.
Asanteni Sane.

0 Comments