BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Kuweka juhudi ni msingi wa mafanikio yako

Ipo hivi kwa kadri unavyoweka juhudi kwenye kazi zako ndivyo unavyozidi kufanya maisha yako kuwa rahisi na ukienda kinyume chake, yaani ukaweka juhudi kidogo  kwenye kazi zako ndivyo pia maisha yako unavyozidi kuyafanya kuwa magumu.

Sasa hapo ni uamuzi kuchagua kitu kimoja, eidha ufanye kazi kwa bidii sana maisha yako yawe rahisi au ufanye kazi kwa ulegevu maisha yako yawe magumu, UAMUZI NI WAKO, kipi ufate na kipi usifate, TAFAKARI.

Wako rafiki katika mafanikio: Imani Ngwangwalu.

dirayamfanikio@gmail.com

Post a Comment

0 Comments