Kabla hujafanya kitu chochote kile, kuna picha ya aina fulani ambayo huwa inakujia, eidha picha ya kuona unafanikiwa au picha ya kuona unashindwa. Kama unaona picha ya kushindwa kwenye kitu unachotaka kikufanya, tayari ndio umeshashindwa hata kabla hujafanya. Kila wakati unatakiwa kuwa na picha ya ushindi, kila wakati panga kushinda/PLAN TO WIN na utashinda kweli.
Wako rafiki katika mafanikio: Imani Ngwangwalu.
dirayamfanikio@gmail.com

0 Comments