BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jambo la kujifunza kutoka kwa Dr. Henry Link


Dr. Henry Link, anatukumbusha ya kwamba  mara nyingi hofu hutengenezwa na mtu kwa kukaa bila kufanya kitu chochote,  lakini vile vile hofu hiyo huondolewa kwa matendo. 

Hii ikiwa na maana ya kwamba kwenye kila jambo lolote ambalo huwa linakupa woga wowote ule, ili jambo hilo usiwe na hofu nalo basi punguza bla bla zisizokuwa na maana na anza kutenda jambo hilo kwa vitendo, ukifanya hivyo hufu yako itaondoka na mafanikio makubwa yatakuwa upande wako.

Post a Comment

0 Comments