BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jambo la kujifunza kutokwa kwa Johann Wolfgang


Johann Wolfgang anatukumbusha ya kwamba  kwenye maisha ya mafanikio ili tuweza kufanikiwa basi tunatakiwa kuelewa kuwa kufahamu vitu vingi pekee haitoshi, bali tunatakiwa kuyaweka yale tunayoyafahamu kwenye matendo, pia anasema kuwa  hata yale ambayo tunayatamani, kutamani pekee haitoshi ni lazima yale tunayoyatamani tuyafanye, tukizingatia hayo mafanikio makubwa yatakuwa upande wetu.

Post a Comment

0 Comments