Mafanikio ya kweli msingi wake mkuu ni mawazo ya mtu mwenyewe, kama unawaza hasi basi hata maisha yako yatakuwa hivyo hivyo pia. Kama ukiwekeza akili yako katika kuwaza chanya katika maisha ya mafanikio kisha ukawekeza muda mwingi katika kuyasaka mafanikio hayo ni kwamba ni lazima utafanikiwa tu.
Hivyo amua sasa kuwekeza muda na akili katika mawazo chanya. Amini ya kwamba mafanikio ni haki yako ya msingi hivyo kila kitu kinawezekana endapo utawekeza muda mwingi katika kuwaza yale yaliyo chanya.
Ndimi: Afisa Mipango Benson Chonya
bensonchonya23@gmail.com
0757909942

0 Comments