Uongozi mzima wa Mafanikio app kwa ujumla wake wanapenda kukutakisa siku njema ya wapendao (Valentine day) ambayo huadhimishwa kila mwaka  kila ifikapo tarehe 14 mwezi wa Pili. Pia tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kuendelea kutuamini na kuwa sehemu ya familia yetu.

 

Asante sana na Mwenyezi Mungu Akubariki Sana