Njia ya mafanikio ni njia ambayo ina changamoto nyingi sana katikati yake. Pale tu unapoanza safari yako ya mafanikio kwa chochote kile unachotaka kukifanya elewa mbele yako kuna changamoto tayari zinakusubiri.
Hautaweza kukwepa kukutana na changamoto, itatakiwa ukutane na changamoto hizo ili uzitatue na ufanikiwe. Usipoweza kutatua changamo halafu na ukatafuta njia ya mkato, hapo utakuwa ni mtu ambaye sasa umeamua kukimbia mafanikio yako.
Wako rafiki katika mafanikio, Imani Ngwangwalu
dirayamafanikio@gmail.com

0 Comments