Mara zote robert Kiyosaki anatuasa ya kwamba ili tuweze kufanikiwa katika mambo tuyafanyayo basi mara zote tusiruhusu hofu za kusindwa zitutawale katika kiwango kikubwa kuliko kuwa na msisimko wa kushinda.
Wajuze na wengine watumie app nzuri ya Mafanikio App

0 Comments