BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Mafanikio App (M.A) ni nini?

 


Mafanikio App: Hii ni app bora kabisa ambayo ni mahususi kwa watu wote ikiwa ina lengo la kukufundisha mbinu mpya, zitakazosaidia sana kwa namna moja ama nyingine kuweza kukujenga na  kuyaboresha maisha yako katika upande wa biashara, familia, mahusiano na harakati mbalimbali uzifanyazo ili uweze kufanikiwa.

Mambo muhimu yanayopatikana ndani ya Mafanikio App

Kupitia Mafanikio –App Utajifunza Mambo yafuatayo;
Mbinu mbalimbali zitakazokusaidia kupata matokeo chanya kwenye kila jambo ulifanyalo.
Mambo muhimu yatakayokusaidia kuboresha mahusiano yako ya kifamalia na kimapenzi.
Vitabu mbalimbali vya mafanikio vitakavyokujenga.
Mambo muhimu yatakayokusaidia kufanikiwa katika biashara na maisha.
Mbinu za kupata ajira kwa urahisi na kuilinda ajira hiyo.
Mbinu zitakazokusaidia kupambana na magonjwa mbalimbali.
Kanuni muhimu za mafanikio.
Changamoto za kibiashara na jinsi ya kupambana nazo.
Nukuu za maisha zitakazokujenga.
Jinsi ya kufanikiwa katika kilimo chenye tija.
Njia za kupata mtaji wa kuanzisha biashara.
Mbinu mbalimbali zitakazokusaidia kujiajiri.


Post a Comment

0 Comments