Ubora wa maisha yako, unategemea sana ubora wa MAWAZO YAKO, na VITENDO/HATUA. Hapa ndipo ubora wa maisha yako ulipo.
Kama mawazo yako ni chanya na unachukua hatua chanya kila siku, ni wazi maisha yako yatakuwa bora na hakuna ubishi. Kama mawazo yako na hatua unazochukua ni za hovyo, pia maisha lazima yawe hovyo.
Inapofika mahali ukaona maisha yako ni mabovu, anza kuangalia hivi vitu viwili, mawazo yako na hatua unazochukua, utagundua hapo ndio mwanzo wa shida zako zote zinapoanzia.

0 Comments