Binadamu tumeumbiwa nguvu za aina nne ambazo tunatakiwa kuzitumia kwa ufasaha ili tuweze kupata mafanikio makubwa. Nguvu hizo ni nguvu ya mwili (Physical energy), nguvu ya ubora (Emotional energy), Nguvu ya akili (Mental energy) na nguvu ya kiroho (Spritual energy).
0 Comments