BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

 


Kama kuna kitu ambacho unahitajika kukifanya, hebu kifanye kitu hicho. Acha kusingizia huna muda. Badala ya kuona jambo hilo halifanyiki, angalia namna jinsi ambavyo utaweza kufanya hata kama unaona kuna ugumu ndani yake. Kumbuka, kila mtu amepewa muda sawa na mwingine. FANYA NA ACHA VISINGIZIO.

Post a Comment

0 Comments