Miongoni mwa jambo pekee litakalokutenga na umaskini ni pamoja na kuondokana na dhana ya kusubiri fursa fulani zitokee maishani mwako.
Siku zote unapaswa kukumbuka kuwa Ili uweze kufanikiwa maishani mwako hutakiwi kusubiri aina fulani ya fursa itokee ndipo uchukue hatua, vipi kama jambo hilo lisipotokea si utakuwa umejichelewesha mwenyewe.
Kumbuka fursa huwa hazitokei maishani kama ajali bali huwa zinatengezwa hivyo ili kuepukana na tatizo la ugumu wa maisha, unachotakiwa kufanya ni kutengeza fursa na si kuzisubiria fursa hii ni kwa sababu kama utendelea kusubiri aina fulani ya fursa huenda kile unachokisubiri kisije.
Ndimi:
Afisa Mipango, Benson Chonya.
Bonyeza
hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail
BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.
0 Comments