Namna ya kutengeneza
1.
Maziwa kikombe 1
2.
Icing sugar 1/4
3.
Condenser milk 380 gram
4.
Kijiko kimoja cha siagi
5.
Vijiko viwili vya radha.
Namna ya kutengeneza
Chemsha jikoni condenser milk weka kijiko
kimoja cha siagi weka vijiko viwili vya radha huku unakoroga mpaka mchanganyiko
wako uwe mzito kisha ipua weka kwenye nailon nzito ulioipaka siagi acha ipoe na
ukate umbo unalotaka.
Imeandikwa na Afisa Mipango Benson Chonya kwa msaada wa
mtandao.
0 Comments