BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jinsi ya kujipa hamasa mwenyewe.

Kabla ya mtu mwingine hajakupa hamasa ya jambo gani la kufanya basi ni muhimu sana uanze kujipa hamasa wewe mwenyewe kwenye kila jambo ulifanyalo.

Ni muhimu sana kuweza kujipa hamasa wewe mwenyewe kwa sababu ukubwa wa ndoto na maono yako wewe ndio unaojua na si mtu mwingine, Hivyo ili uweze kujipa hamasa yenye kukupa mafanikio ya kweli unatakiwa kila wakati ujifunze kujinenea yale yaliyo mema kila wakati.

Kila wakati unapaswa kukiruhusu kinywa chako kujinenea yale yaliyo mema  ikiwa na pamoja kuuombea uwezo wako wa kiutendaji kwa mwenyezi Mungu ukawe ni uwezo wa kukuletea hamasa za kiutendaji kwenye kila jambo.

Ndimi: Afisa Mipango, Benson Chonya.

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

bensonchonya23@gmail.com

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments