Ni bora kuamini katika uwezekano kuliko kutoamini katika uwezekano. Unapoamini kwenye uwezekano ndio uwezekano baadaye mambo huwa yanakuja kuwa katika uhalisia wa uwezekano.
Kwa mfano, Mandela alikuwa anaamini ndoto yake ya kuja kuwa rais licha ya kukaa gerezani zaidi ya miaka 20. Je, wewe unaamini uwezekano wa kufanikiwa kwako? Amini hivyo na utafanikiwa kweli.
Wako
rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu
Bonyeza
hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail
BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu
kupitia WhatsApp.
0 Comments