BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jukumu muhimu ililonalo kwenye maisha.



Moja kati ya jukumu kubwa ambalo unapaswa kulibeba kwa nguvu zote ambalo litakufanya uweze kufanikiwa katika maisha yako ni kwamba unatakiwa kuhakikisha unalinda kile ulichonacho ili kisipote.

Kama unafanya aina fulani ya biashara basi hakikisha unalinda mtaji wako ili usipotee lakini vilevile unatakiwa kujifunza mbinu zitakazokusaidia kulinda wateja wako ulionao ili nao wasipotee.

Si katika biashara pekee, bali hata katika maisha haya ya kila siku unatakiwa kujifunza namna sahihi itakayokusaidia kulinda kile kilicho cha muhimu kwako nacho kisiweze kupotea. 

Ndimi: Afisa Mipango, Benson Chonya.

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

bensonchonya23@gmail.com

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments