BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Mambo muhimu ya kuzingatia ili kuitawala biashara yako kimafanikio- Sehemu Ya 01.

Mafanikio katika biashara ni kitu ambacho karibu kila mafanyabishara anataka kitokee kwake. Wafanyabiashara na wajasiriamalia karibu wote, wana kiu na shauku kubwa ya kutaka kuona biashara zao zikifanikiwa.

Hata hivyo pamoja na kiu hiyo, lakini ukweli unabaki pale pale, kwamba suala la kutawala biashara na ikakupa mafanikio si jambo la kubahatisha bali yapo mambo ya muhimu ambayo wewe binafsi unatakiwa uyafanye ili biashara yako iweze kufanikiwa.

Bila kupoteza muda, fuatana nami katika mfululizo wa makala haya ili nikuonyeshe mambo ya msingi ambayo unatakiwa kuyafanya katika biashara yako na kuifanya biashara hiyo ikawa ya mafanikio makubwa.

Kubali kuwa mwanafunzi wakati wote.

Tafuta maarifa kila siku yatakayokusaidia kukusaidia katika biashara. Jifunze kuhusu washindi katika biashara zao ni kipi wanachokifanya na hata wale wanaoshindwa ni kwa nini pia wanashindwa. 

Kila unapojifunza hiyo inakupa nguvu ya kujiamini  na kufanikiwa. Kama ulikuwa hufanyi hivyo hebu anza sasa kujifunza zaidi juu ya biashara yako.

Itaendelea.....

Imeandaliwa na kuandikwa na Imani Ngwangwalu.

 

Post a Comment

0 Comments